...That's all???????????!!!!!!!!!!!Huyu ndio mbunge wa jimbo la Namtumbo na ufuatao ndio wasifu wake kwa mujibu wa tovuti ya Bunge
Kazaliwa Mwaka 1964
Elimu yake ni kama ifuatavyo
Shule ya msingi Turian:1972-78
Sekondari Agakhan Mzizima :1979-82
Elimu ya juu College of Business Education:Advanced Diploma in Business Administration:1988-89 and Certificate in Computer Data Processing mwaka huu huu 1988 mpaka 1989
Pia kahudhuria
The City and Guilds of London Institute na kutunukiwa The City and Guilds of London Institute mwaka 1996
huyu ndio mbunge wa jimbo la namtumbo na ufuatao ndio wasifu wake kwa mujibu wa tovuti ya bunge
kazaliwa mwaka 1964
elimu yake ni kama ifuatavyo
shule ya msingi turian:1972-78
sekondari agakhan mzizima :1979-82
elimu ya juu college of business education:advanced diploma in business administration:1988-89 and certificate in computer data processing mwaka huu huu 1988 mpaka 1989
pia kahudhuria
the city and guilds of london institute na kutunukiwa the city and guilds of london institute mwaka 1996
Huyu ndio mbunge wa jimbo la Namtumbo na ufuatao ndio wasifu wake kwa mujibu wa tovuti ya Bunge
Kazaliwa Mwaka 1964
Elimu yake ni kama ifuatavyo
Shule ya msingi Turian:1972-78
Sekondari Agakhan Mzizima :1979-82
Elimu ya juu College of Business Education:Advanced Diploma in Business Administration:1988-89 and Certificate in Computer Data Processing mwaka huu huu 1988 mpaka 1989
Pia kahudhuria
The City and Guilds of London Institute na kutunukiwa The City and Guilds of London Institute mwaka 1996
Huyu ndio mbunge wa jimbo la Namtumbo na ufuatao ndio wasifu wake kwa mujibu wa tovuti ya Bunge
Kazaliwa Mwaka 1964
Elimu yake ni kama ifuatavyo
Shule ya msingi Turian:1972-78
Sekondari Agakhan Mzizima :1979-82
Elimu ya juu College of Business Education:Advanced Diploma in Business Administration:1988-89 and Certificate in Computer Data Processing mwaka huu huu 1988 mpaka 1989
Pia kahudhuria
The City and Guilds of London Institute na kutunukiwa The City and Guilds of London Institute mwaka 1996
Ndio wasi wasi wangu unapoanzia hapo......sijawahi kuona au kusikia ADBA ya CBE ni ya mwaka mmoja......nina wasiwasi na hii either Cv yake imekosewa na wawekaje kwenye tovuti ya bunge au hiyo sio ADBA ni certificatephillemon mikael;306121
Inajulikana wazi kuwa course ya adba ni ya miaka mitatu lakini inaonyesha kuwa vita aliisoma kwa mwaka mmoja tu ....hakuna kozi kama hiyo labda ya certificate.....
Ndio haswaaJe mleta hoja anataka tufanye utafiti kama vita kawawa ni kihiyo mwingine?? Au vita amefoji vyeti na cv.....
Hilo ndio swali nashangaa alisoma wapi high school ninavyofahamu labda miaka hiyo uatratibu ulikuwa tofauti ni kuwa kuingia kozi za Advanced diploma lazima umalize form 6 au nakosea? au uwe na cheti(certificate ya proffessional kama accountancy na vingune ambavyo huwa vinatolewa katika chuo kama hicho CBEIs that all??????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Hiyo miaka ya advanced diploma mbona inatisha, yaani kamaliza advanced dipolma within a year. Kweli ni kipanga sana huyo, ingekuwa sasa hivi tungempeleka special schools!!!! tehe tehe tehe!!!
Huko London katunukiwa certificate in IT hiki chuo sio vile vya wanaijeria?Na huko the City and Guilds of London Institute alisomea nini na alitunukiwa cheti gani????
Wanajiuliza iweje watoto wadogo wananza kuiba mitihani hawajui wanawaiga wazee wao an viongozi wao.....kinaniuma sana vijana wengi wamekalia degree zao nzuri lakini wanabaniwa kazi na watu wa namna hii ukiangali Vita alifanya kazi Ubungo Spinning Mill akiwa kama marketing manager akiwa na Adv dip yake yenye utata.Jamani itafika mahali sasa tufanye scrutiny ya vyeti hata kwenye Siasa!!!!!!!
Halafu kule NECTA waanze kufanyia Scrutiny vyetu vyote vya waajiriwa au basi iundwe taasisi ya kufanya kazi hiyo na ianzie kwa viongozi wetu.
Nasikitika watu wamefauli kiukweli na vyeti halali lakini hawana post nzuri kwa kuwa tu kijana wa fulani kafoji cheti na kwa kuwa ana mtu wa kumkingia kifua anapata kazi nzuri na mwenye haki anasota. Yaani nakuambia zoezi la kuhakiki vyeti likipita halafu wahusika wanakuwa publicized then watu tutapata kazi za maana ile mbaya maana nafasi nyingi za sasa zita fall vacant!!!! Du Tanzania usanii mwingi mno kila mahali!!!!
Yoyo,
..advanced diploma ya mwaka mmoja makes sense kwasababu alichukua diploma hapo hapo CBE.
..mimi ni kati ya wale tunaoamini kwamba Tanzania ianzishe mfumo utakaowezesha wanafunzi ku-transfer credits frm one higher institution to another.
..sidhani kama mwanafunzi mwenye diploma anapaswa kusoma miaka yote mitatu ili kupanda ngazi kupata 1st degree ktk vyuo vyetu vikuu. anachopaswa kufanya ni kusoma vile vipindi ambavyo hakusoma ktk diploma yake.
NB:
..masters degree ktk University za UK na Scotland huchukua mwaka mmoja kuhitimu.
nakubali ilikuwepo zamani hata katika chuo kama Ushirika moshi.......lakini sijaona Vita alichukua diploma lini kama unafahamu alichukua diploma lini basi tuambieYoyo,
..advanced diploma ya mwaka mmoja makes sense kwasababu alichukua diploma hapo hapo CBE.
Masaki,
..kweli kabisa advanced diploma ya CBE ni mwaka miaka 3. kozi hiyo ilianzishwa miaka mingi baada ya chuo kuwa kinatoa diploma ya miaka 2.
..hebu ongeza wigo wa mjadala kidogo. kuna wanafunzi waliosoma diploma ya CBE, halafu wakaenda makazini. je, wakitaka kupata cheti cha advanced diploma ya CBE lazima wachukue miaka mitatu sawa na wale wenye vyeti vya sekondari?
..kuna ulazima gani wa mwanafunzi aliyehitimu Diploma miaka 2 ya CBE, kulazimika kusoma miaka mingine mitatu, ili ahitimu na advanced diploma ya CBE? yaani mwanafunzi achukue jumla ya miaka 5 kuhitimu advanced diploma?
jamani ni Mzee Kawawa mnamzungumzia au nani? ... Amezaliwa 1964?
Hailezi mwaka 1982 hadi 1988 alipojiunga na advance dip...alikuwa akifanya nini....
..