Shi'a ,shi'a ,shi'a πππ umejizuia sana kutowatukana hap uliowaita "shakhayn" ππ mkuu ipo hivi hata muwachukie , muwatusi, muwaite majina yasiyo faa na kuwapakazia uongo chungu nzima hao watabaki kuwa maswahaba wa mtume muhammad (swalallah a'layhi wasallam) .
Mtu aliyeelezewa kwa uzuri na Allah(The All powerful) bila kutajwa jina kwenye quran (darja kubwa sana hiyo kama haujui ) leo hii unamtusi πππ .