Vita vya baba na mama

Thomasj

Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
10
Reaction score
6
Ikitokea baba na mama wanapigana afu mama anapigwa balaa afu wewe ndo unafika utafanyeje ...
 
Ni mtu na mke wake wewe inakuhusu nini?Walikuwa pamoja kabla hujazaliwa kiherehere cha nini?
 
Wote nawapiga bakora... Ili wasirudie siku nyengine.. Ugomvi uishie chumbani sio kutupa faida sisi..
 
unawaamulia kisha unawaambia wakajifungie chumbani kwao wapigane huko mpaka wachoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…