Vita vya Covid 19: Before and after

Vita vya Covid 19: Before and after

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Kenya wanachekesha Sana.
Screenshot_2020-03-26-14-53-09-004_com.facebook.katana.jpg
 
Wezi kama hao wanastahili kupigwa risasi mbele ya watu ili iwe funzo kwa wajinga wengine wenye tabia kama hizi.
Kenya utawamaliza wote, hakuna ambaye sio mwizi. Ila inawezekana kabla hajafanikiwa kufyatua risasi, hiyo silaha ikaibiwa, hapana kucheza na mkenya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani polisi aliyeshika bunduki mkononi lazima apige doria karibu na hizo taps ndio watu waoshe mkono bila tap kuibiwa. Afrika bwana, tulirogwa na nani?
 
Yaani polisi aliyeshika bunduki mkononi lazima apige doria karibu na hizo taps ndio watu waoshe mkono bila tap kuibiwa. Afrika bwana, tulirogwa na nani?
Hiyo ni Kenya usijaribu kuingiza Africa katika matatizo yenu, njoo huku Dar uende pale makao makuu ya NBC, posta ya zamani, mbele yake pana bustan ya kupumzikia, waliweka kizimba cha maji ya kunywa zaidi ya miaka miwili sasa, tena koki walizofunga ni zile za bei kubwa, hakijawahi kuibiwa pamoja na kwamba bado hawajaunganisha maji.

$100b vs $63b

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wangekuwa huku bongo si wangechanganyikiwa,maana sisi huku bomba(taps) ziko nje nje tu kila nyumba
 
Back
Top Bottom