Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Hapo uvamizi ulikuwa tayari umefanyika na hao waliuwawa wakati wa mapigano ya kutaka kuwatoa wanajeshi wa Amini katika maeneo ya nchi yetu mwanzoni kabisa mwa vita vya Kagera.

Ahsante sana. Sasa kaka echolima wewe kama mwanajeshi mstaafu na uliyepigana vita kama mimi ni Rais wa Tanzania na nchi imo katika mzozo wa mpaka na Malawi , Jee nikitaka ushauri wako kuhusu hali hii , ungalinishauri kitu gani ili kulinda maslahi ya nchi , kwa hivi sasa na vizazi vijavyo ?
 
Hio usiite vita!
Hio ilikuwa ni fujo tu!
Na ghasia za watu wenye magobole!

Sasa hii ukiita vita na vietnam uite nini!?
Brother nakuheshimu sana naomba uache dharau kwenye mambo ya msingi kama haya
Kama huna jema kwenye simulizi hii basi kukaa kimya pia ni busara
 
Tweeeende raha sana
 
Simulizi za Kusisimua. Huku ndio kurudisha Uzalendo. Kweli tumetoka mbali. Wakati tunasoma haya, na jinsi ulivyoiandika historia hii, ni sawa tunaiona live.

You are our Heroes. No doubt about it.

"Uwezo Tunao, Nia Tunayo na Sababu Tunayo".

Unastahili Saluti zetu kutoka kwa wote hapa JF. Huu ndio Urithi tunaostahili kuwapa kizazi kijacho. Hii ndio Tanzania tunayoijua. Tanzania muhuri wa Ubinaadamu. Tungeomba sana historia ya Msumbiji na Angola.
Tanzania ni taifa kamili lilobarikiwa na Mola. Na tunamuomba Mola aendelee kulibariki na kulilinda Taifa letu. Adumishe Uhuru wetu na Umoja wetu.
Daima Mungu awabariki JWTZ.
 
Amina!!
 

Ningeshauri mazungumzo ya amani kati ya pande mbili ikiwezekana hata na nyingine kama wapatanishi.Maana kuingia vitani ni janga la kitaifa kwa sasa kwa sababu teknolojia ya kivita imekuwa kubwa sana kiasi kama itatokea vita sasa hivi maangamizi yatakuwa makubwa sana kwa watu na mali zao.Maana silaha tulizokuwa tunatumia miaka hiyo sasa hivi zimeboreshwa sana sana na zingine za kisasa zaidi.Ni bora mkaongea kuliko kuidumbukiza nchi kwenye vita kwa sasa hivi.Na huo ndiyo utakuwa ushauri wangu kwako Mtukufu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 

Shukrani sana
 
Hv watu km wale waarabu nani atawatibu wale ISIS...??

Kwa maelezo.yenu napata kuwa iraq,syria,somalia kwao kuja na aman na utulivu n.ndoto ya mchana


Aisee pole yao makamanda,nilipenda jeshi ila n unable man kimtindo, ila kumbe nao wanachangamoto nyingi sana
 
Jee wale wanajeshi wenzako uliowakuta wamefariki waliuwawa wakati wa uvamizi au katika jitihada za kuvuka mto
Watu mnao quoter li uzi lirefu aisee mie huwa mnaniboa si ungeuliza tu mkuu??

Maana daah
 
kipindi hii stories inahadisiwa sikua member humu, nashukuru sana kwa niliyoyapata humu,hongera sana mkuu,nimejua mengi kwa pale nilipoishia kwa niliyokuwa nayajua kiasi, niliwahi kuambiwa hao wa Libya waliotekwa walisafirishwa kwa treni kwenda DSM na kila kituo cha treni walikuwa wanazomewa na wananchi wazalendo,je kuna ukweli?
 
Hivi vitu viwekwe hata kwenye historia iwe lazima kujua secondary
 
Kweli mwandaaji wa kumbukumbu ya vita yupo sahihi bali kuna maeneo hana kumbukumbu nayo ndege zilizopigwa Musoma
Mwanzoni mwa vita ziliingia wakati tayari amri ya kupiga chochote kitakachoonekana wakati tayari walishaondoka Ngerengere.Pia nimkumbushe kabla vita haijaanza Brig Kiwelu na Brig Luhanga ndiyo makamanda wakuu wa mwanzo kupelekwa huko lakini baadaye waliondolewa kwa sababu za kiutawala na wakateuliwa kuwa wakuu wa mikoa Kiwelu Tanga Marehemu Luhanga sikumbuki alipelekwa mkoa gani nadhani hiyo ni sehemu ya ufafanuzi
 
Nape ni mtoto wa Mwandosya.......sababu kitanda hakizai haramu...ndio basi anaitwa Nnauye!!!!! Kwenye list ya watoto wa Nnauye Nape hayumo
Kumbe ndio maana nape anaongea sana, kipaji karithi kwa baba., ila anakitumia kubomoa amani sio kujenga kama babake.
 
Hio usiite vita!
Hio ilikuwa ni fujo tu!
Na ghasia za watu wenye magobole!

Sasa hii ukiita vita na vietnam uite nini!?
Kwa nini unamwita baba yako "baba" wakati kuna wanaume wakubwa kwa umri kuliko baba yako? Tena ni wazuri wa sura, matajiri, wenye elimu kubwa n.k. mbona huwaiti baba? Kama una IQ nzuri utakuwa umenielewa.
 
Nina babu yangu yeye ni mstaafu Sasa Anaitwa Conel Isaack Mtuma. Wakati wa Vita alikuwa CO pale kambi ya Kaboya Bukoba. Kipindi cha vita ananisimulia alikuwa na cheo cha luten Conel na mkuu wa iyo kambi ya Kaboya Tabora. Alishiriki akiwa upande wa mawasiliano Je unamfaham. ? Unaweza ukaniambia hawa watu ushiriki wao ulikuwa upoje. ?
 
Hio usiite vita!
Hio ilikuwa ni fujo tu!
Na ghasia za watu wenye magobole!

Sasa hii ukiita vita na vietnam uite nini!?
ni kweli ile haikuwa vita ni fujo tu za wanajeshi wa idd amin dhidi ya dikteta uchwara nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…