Tetesi: Vita vya Kagera

Tetesi: Vita vya Kagera

JMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
739
Reaction score
652
Wasalaam....

Nimekaa na kutafakari Kwa Kina
Hivi Ni Kweli Chanzo cha vita n kagera tu

Mimi naona kuna cha ziada zaidi ya kagera japo wengi wenu mnaweza msinielewe

Ipo hivi Tz ilikuwa katika ubora wake katika mfumo Wa ujamaa na ndio ilikuwa Taifa la mfano Kwa Afrika hivyo China na Iliyokuwa USSR waliwekeza Sera zao za kijamaa hapa... Mabepari wakaona njia ya kuuzuia n kutumia kibaraka kuwadhoofisha na aliyetumika n Idd Amin

Vita iliiacha nchi ikiwa na njaa karibu mambo yote ya kiuchumi yalikuwa yamekwama Nyerere aliumiza kichwa sana Hawa mabepari wakamuwekea maaharti ili apate mikopo na misaada upande Wa wajamaa wenzake nao walikuwa dhoofu hali ndipo ukaingia mpango Wa SAP na ubinafsishaji Wa kufuru

Watanzania tuitazame historia Mababu zetu walipigania Uhuru Wa kujitawala bado hatuna Uhuru Wa Kiuchumi na Kiutamaduni

Mwananchi Wa Kawaida.
 
ujamaa ulijiua wenyewe duniani kote maana kwa jicho la pembeni unapromote uvivu na kutegeana.
wajamaa wote waliendelea baada ya kuuchakachua na kuuchanganyia vionjo vingine vyenye radha ya ubepari.
 
Ni kweli ila mahala pengine mabepari walifanya mbinu ili ufe kama kupasuka vipande Kwa iliyokuwa USSR na hata hapa Tz vita vya kagera ilikuwa n mbinu ili kufifisha kabisa
 
Wasalaam....

Nimekaa na kutafakari Kwa Kina
Hivi Ni Kweli Chanzo cha vita n kagera tu

Mimi naona kuna cha ziada zaidi ya kagera japo wengi wenu mnaweza msinielewe

Ipo hivi Tz ilikuwa katika ubora wake katika mfumo Wa ujamaa na ndio ilikuwa Taifa la mfano Kwa Afrika hivyo China na Iliyokuwa USSR waliwekeza Sera zao za kijamaa hapa... Mabepari wakaona njia ya kuuzuia n kutumia kibaraka kuwadhoofisha na aliyetumika n Idd Amin

Vita iliiacha nchi ikiwa na njaa karibu mambo yote ya kiuchumi yalikuwa yamekwama Nyerere aliumiza kichwa sana Hawa mabepari wakamuwekea maaharti ili apate mikopo na misaada upande Wa wajamaa wenzake nao walikuwa dhoofu hali ndipo ukaingia mpango Wa SAP na ubinafsishaji Wa kufuru

Watanzania tuitazame historia Mababu zetu walipigania Uhuru Wa kujitawala bado hatuna Uhuru Wa Kiuchumi na Kiutamaduni

Mwananchi Wa Kawaida.

Sijakueleewa unataka kujadili nini hasa.

1) Chanzo cha vita vya Kagera?

2) Economic failure and dependence ya Tanzania?

3) Cultural evolution in Tanzania?

4) Madhara ya uhuru wa kisiasa katika uchumi na tamaduni za Tanzania? Kwa maana ya kwamba, kuondoka kwa mkoloni mgeni, kumeathiri vipi maendeleo na ukuaji wa uchumi na utamaduni katika Tazania?

AU chochote tu kile mtu anachotaka kuchomekea ili mradi anaandika bila mwelekeo wa mada?

Unahitaji kuwa precise ili watu wachangie kwa utaalamu badala ya emotions.
 
Vita ya Kagera ilikuwa ina lengo la kumrudisha Milton Obote madarakani baada ya kupinduliwa na General Nduli Idd Amin.Ukitaka kujua zaidi hiki kisa fuatilia mahojiano ya Eugene Maganga na yale ya Komando Tamimu ndio utaelewa kwanini pia alitaka kupinduliwa(Nyerere) 1982.
 
Sijakueleewa unataka kujadili nini hasa.

1) Chanzo cha vita vya Kagera?

2) Economic failure and dependence ya Tanzania?

3) Cultural evolution in Tanzania?

4) Madhara ya uhuru wa kisiasa katika uchumi na tamaduni za Tanzania? Kwa maana ya kwamba, kuondoka kwa mkoloni mgeni, kumeathiri vipi maendeleo na ukuaji wa uchumi na utamaduni katika Tazania?

AU chochote tu kile mtu anachotaka kuchomekea ili mradi anaandika bila mwelekeo wa mada?

Unahitaji kuwa precise ili watu wachangie kwa utaalamu badala ya emotions.
Kipi hujaelewa

Ngoja nikufafanulie Mimi natoa hoja iliyo ndani ya fikra za ubongo wangu nikilinganisha vita baridi vilivokuwa vinaendelea duniani na kilichotokea Hapa EA.

Pasipo na shaka pamoja na kusoma hadithi nyingi za simulizi kuhusu vita hivyi kuna jambo limejificha na wengi wetu hatujalitambua bado kuwa msingi Wa vita ulikuwa n vita baridi na lengo n kudhoofisha ujamaa Kwa mbinu ya hali ya juu na kweli ukafa jumla. Njaa iliingia nchini ya kutisha vita vile viliiacha nchi katika hali mbaya sana...

Tanzania ikawa haina budo kuingia katika mfumo Wa ubepari Kwa miguu yote ili kupata misaada na mikopo.

My last word baada ya Uhuru Wa kiutawala bado hatujawa huru kiuchumi na kiutamaduni ( hayahusiani na mada ila Ni ya muhimu pia)

Umenipata
 
Endelea kutafuta references.
 
Back
Top Bottom