JMWAKA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 739
- 652
Wasalaam....
Nimekaa na kutafakari Kwa Kina
Hivi Ni Kweli Chanzo cha vita n kagera tu
Mimi naona kuna cha ziada zaidi ya kagera japo wengi wenu mnaweza msinielewe
Ipo hivi Tz ilikuwa katika ubora wake katika mfumo Wa ujamaa na ndio ilikuwa Taifa la mfano Kwa Afrika hivyo China na Iliyokuwa USSR waliwekeza Sera zao za kijamaa hapa... Mabepari wakaona njia ya kuuzuia n kutumia kibaraka kuwadhoofisha na aliyetumika n Idd Amin
Vita iliiacha nchi ikiwa na njaa karibu mambo yote ya kiuchumi yalikuwa yamekwama Nyerere aliumiza kichwa sana Hawa mabepari wakamuwekea maaharti ili apate mikopo na misaada upande Wa wajamaa wenzake nao walikuwa dhoofu hali ndipo ukaingia mpango Wa SAP na ubinafsishaji Wa kufuru
Watanzania tuitazame historia Mababu zetu walipigania Uhuru Wa kujitawala bado hatuna Uhuru Wa Kiuchumi na Kiutamaduni
Mwananchi Wa Kawaida.