Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,884 Reaction score 21,175 Jun 29, 2024 #1 Drones zitakuwa zinaamua vita za kisasa au bado zina nafasi ndogo tu? Drones kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Myanmar Drones kwenye vita ya Ukraine na Russia.
Drones zitakuwa zinaamua vita za kisasa au bado zina nafasi ndogo tu? Drones kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Myanmar Drones kwenye vita ya Ukraine na Russia.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,915 Reaction score 28,284 Jun 29, 2024 #2 Einstein alisema hajui vita ya 3 ya dunia itapiganwa na Nini ila anajua vita ya nne watu watapigana kwa fimbo na mawe hapa ndio china Russia na USA wanajitahidi dunia isiende huko
Einstein alisema hajui vita ya 3 ya dunia itapiganwa na Nini ila anajua vita ya nne watu watapigana kwa fimbo na mawe hapa ndio china Russia na USA wanajitahidi dunia isiende huko
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Jun 29, 2024 #3 Wachawi wa afrika nao wataunda drone zao za kisasa zaidi badala ya ungo