Really funny!!!
Hii ni true story kabisaa, kuna dada mmoja kamegwa na mume akagundua, sasa jamaa akamconfront mwizi wake na kumuomba aache... mwizi akaacha, basi imekua tabu nyumbani! mwanamke anashindana kulazimisha jamaa waendelee kwani mme anamsimanga nyumbani kwa kuachwa na sasa anaitumia kama fimbo kwamba mkewe is a loser mbaya
dada amekua very much aggressive hadi anatishia kwenda kumharibia aliyemmega kazini na kwa washikaji
je ingekua wewe mkeo amefanya hivi ungefanyaje? aachwe au vipi?
kumwacha mtu anaekupenda hali anajua una mwacha ni kujitafutia balaa na hata kifo. Ukitaka kumwacha akupendea nenda nae taratibu hadi unamwacha. USIZIME STOVE LINALOWAKA KWA MAJI LITAKULIPUKIA.Mambo huenda taratiiibu hadi....complete separation.Anahitaji roho wa bwana huyo... ana pepo