GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Huu ndio uongo aliozoea kuzusha Israel.
Vipi na wale wamarekani wanne waliolipuliwa na gari lao la vyakula nao watuhumiwa wa Oktoba 7!?
Anawaogopa WamarekaniTurkey ya Edorgan ni ya kishenzi sana , Uturuki yeye ana ugomvi na pkk wakurdi ,sijui ni kwanini anaenda kushambulia vikosi vya serikali ya Assad ,yeye kama Target yake ni wakurdi angeenda kuwaponda huko Kurdistan kuliko kushambulia vikosi vya serikali iliyokithiri kuleta stability kwenye nchi baada ya vita ya miaka mingi na uharibifu mkubwa na kiuhalisia territory ya wakurdi IPO ndani ya Syria na ni sehemu ya taifa la Syria na haitakiwi kuvamia na kudhambulia kinyemela kama anavyofanya kila siku yeye na washenzi wenzake mazayuni IDF WA Israel ,ule ni ushenzi na ugaidi .
Huyu fala ni wa kumtoa madarakani na kumyonga , Syria ilikuwa imeanza kutulia baada ya Hezbollah ,Iran na Urusi kusimamia show na kuwang'oa ISIs na magaidi wengine waliofadhiliwa na Marekani na mazayuni kama Alnusra nk
Turkey ya Edorgan ni ya kishenzi sana , Uturuki yeye ana ugomvi na pkk wakurdi ,sijui ni kwanini anaenda kushambulia vikosi vya serikali ya Assad ,yeye kama Target yake ni wakurdi angeenda kuwaponda huko Kurdistan kuliko kushambulia vikosi vya serikali iliyokithiri kuleta stability kwenye nchi baada ya vita ya miaka mingi na uharibifu mkubwa na kiuhalisia territory ya wakurdi IPO ndani ya Syria na ni sehemu ya taifa la Syria na haitakiwi kuvamia na kudhambulia kinyemela kama anavyofanya kila siku yeye na washenzi wenzake mazayuni IDF WA Israel ,ule ni ushenzi na ugaidi .
Huyu fala ni wa kumtoa madarakani na kumyonga , Syria ilikuwa imeanza kutulia baada ya Hezbollah ,Iran na Urusi kusimamia show na kuwang'oa ISIs na magaidi wengine waliofadhiliwa na Marekani na mazayuni kama Alnusra nk
Baadae Alawites na Christians wataanza kuchinjwa na Magaidi.
Ngoja tuoneBaadae Alawites na Christians wataanza kuchinjwa na Magaidi.
Kwa huko hakuna Genocide kama Gaza?Russia ipo vitani miaka na miaka mzee hili nisuala dogo sana kwake ngoja uone Russia akipiga pale Syria hapigi kama anavyo piga Ukraine Jana na leo tu kuna maeneo Aleppo yashafanana na ukanda wa Ghaza 😢
Hayo ni Magaidi ya Mohammed, na hapa tunaona Gaidi kubwa la Mohammed linalojificha kwenye suite, Rais wa Turkey Tayyep Edogan ndilo linalowasaidia.Vita nchini Lebanon ilipokuwa inaelekea mwisho, mzozo mwingine mkubwa umezuka Mashariki ya Kati - au labda si mpya sana. Waasi wa Syria wanaopinga serikali wameanzisha mashambulizi ya haraka dhidi ya jiji kubwa zaidi nchini, Aleppo. Tayari wanadhibiti vijiji kadhaa na wameendelea hadi barabara kuu ya Damascus-Aleppo.
Kwa mara ya kwanza tangu 2020, mapigano makali yamezuka nchini Syria. Vikosi vya serikali vinatoa upinzani dhaifu. Waasi wanasonga mbele kwa kasi, na vikosi vya Assad vimeshindwa kuwazuia, vikijiondoa vyenyewe maeneo
Wakati wa mapigano karibu na Aleppo, mshauri wa kijeshi wa Iran, Jenerali wa IRGC Kiyumars Pourhashemi, aliuawa. Shughuli mpya za waasi zimechochewa na kushindwa kwa Hezbollah na Israeli na kupelekwa tena kwa vikosi vya Urusi vilivyokuwa syria Ukraine. Dikteta wa Syria Bashar al-Assad amepanda ndege haraka kwenda Urusi kwa mashauriano na Putin.
Kulingana na ripoti ambazo hazijathibitishwa, makumi ya wanajeshi wa Urusi kutoka kwa "PMC ya Wagner" wameuawa wakati wa mashambulizi ya waasi, na baadhi , ya silaha na usafiri wa Urusi zimekamatwa. Waasi wanabomoa picha za Bashar al-Assad na alama zinazohusishwa na Urusi. Wametangaza kuwa maadui wao wakuu ni WaIrani na Warusi, wanaounga mkono utawala wa Assad.
View attachment 3165135
Erdoğan ni Mnyama sana aisee...Hayo ni Magaidi ya Mohammed, na hapa tunaona Gaidi kubwa la Mohammed linalojificha kwenye suite, Rais wa Turkey Tayyep Edogan ndilo linalowasaidia.
View: https://x.com/GoldingBF/status/1863249411268038856
Kama ni Wairan wakikutana na Hezbollah tu IDF anakula vichwa
Hata uko Syria wakileta ngebe IDF inaend kumchukua Assad Damascus