Vita ya Aleppo inaanza tena

Israel na US na Turkey hao ndio wanataka kumtoa Assad. Afu huyo Tayyip Erdogan anakuambia Shetanyahu ni mshenzi huku kwa nyuma wako pamoja. Yote ili Assad asimamishe kupeleka silaha Lebanon. Yule Erdoğan yeyetarget yake aimeze Halab au kama ijulikanavyo Aleppo
 
Kwahiyo mpw
Kwahiyo mpango wa edogan ni kuchukua maeneo ya Syria?

Mbona juzi nimemuona ana mkoromea netanyahu
 
Mlipoanza kumshabikia Putin kupora Crimea bas Erdogan anataka Allepo na China anaitaka Kashmir , mdogo mdogo Kenya ataitaka Serengeti na Kilimanjaro ndipo mtaanza ona umuhim wa kukemea waporaji wa maeneo ya watu
 
Kwahiyo mpw

Kwahiyo mpango wa edogan ni kuchukua maeneo ya Syria?

Mbona juzi nimemuona ana mkoromea netanyahu
Huyo Mturkey maneno mengi kama vile France. We hujui France alijidai ana matatizo na Israel, ili ajifanye yuko close na Lebanon. France ndio aliye kuwa anawatia pressure serekali ya Lebanon pamoja na US kusimamisha vita. Bada ya vita kusimama France anasema Shetanyahu hata akienda France hawafati ICC.
 
Sasa China na Kashmir wap na wap ?
Soma raman acha uzuzu , Kashmir ipo kati ya Pakistan , India na China , China amefanikiwa kudanganya ulimwengu kuwa Kashmir inapiganiwa na Pakistan na India ila ukweli ni kwamba China anaitumia Pakistan ili aweze kuipora Kashmir kama anavyopora baadhi ya maeneo ya India huko upande wa krb na ukanda wa milima ya Himalay
 

Attachments

  • stock-vector-map-of-kashmir-is-a-geographical-region-of-the-indian-subcontinent-political-map-...jpg
    315.3 KB · Views: 6
Sio muda mrefu mtasikia wanajeshi wa uturuki wana uawa kama siafu hapo Syria
Ngumu sn waturuk wajanja sn sio kama hizo nchi nyingine za Kiislam , Uturuki kala timing nzurii ili ajiweke vzr kote USA na Urusi , alijitenga sn na USA kafanya hv ajikoshe Kwa USA Trump akiingia madarakan na akifurahishwa na Uturuki bas Uturuki anawaachia migogoro wao yey anaenda kudeal na Wakurdi
 
Japo apo umesema kweli. IRAN TO IRAQ × SYRIA TO LEBANON iyo kweli na Iran na russia kamwe kamwe kamwe awawezi kukubali utawala wa Asad uanguke apo SYRIA moto wake utakaowashwa sio wakitoto na wala awatoweza kufikia uzibiti kama ule kwanza.
Kama Asad anafaa wamchukue akatawale Russia au Iran!; Syria Wananchi wamechoks...
 
Uturuki imeamua kutumia hii nafasi vyema kuiimarisha nguvu za waasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…