Vita ya ardhi Kenya, mzee wa miaka 70s ajeruhiwa

Vita ya ardhi Kenya, mzee wa miaka 70s ajeruhiwa

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Hivi huku kuna serikali? Hii ndo powerful nation ambapo wazee wanavamiwa, wanafilisiwa na kunyang'anywa mali zao? Real?

Haki za binadamu Kenya zipo au zipo kwenye katiba lakini maisha ya watu hakuna cha haki hizo?

Screenshot_20200624-174158.jpeg
 
Tukimaliza tutakuja kwenu. Tutaanza na kilimanjaro. Wewe subiri tu.
Kwanini msivamie ardhi ya Kenyatta family na Delmonntte?.

Sasa ndio mnaona hasara ya ubepari, hayo ni matunda ya Sera za ubepari, wadogo mnapigana wenyewe kwa wenyewe, wakati ardhi kubwa yenye rutuba wanashikilia wazungu na hawaitii ni mapori, wenyewe hawaishi nchini lakini POLISI wenu wanalinda hayo mapori.
 
Back
Top Bottom