''Vita ya Barafu'' 1939 na fundisho kubwa kwa madikteta

hahaha chief zitto junior nimeisoma hii nikajikuta nacheka, kweli kabisa kumdharau adui yako ni kosa kubwa sana,

Finland walitumia mazingira yao vizuri maana inawezekana na wao walishajua kwamba warusi wameowaona ni wachache na dhaifu hivyo wakatumia hiyo nafasi,

vita bwana ni mbinu, na wakati wanashambulia kwa style ya ski-riding huenda jeshi la urusi lilishtushwa maana speed ya hao jamaa wakiteleza kwenye barafu sio mchezo.

asante kwa funzo zuri.
 
Niliwahi kushuhudia jambo ambalo mpaka leo limeniacha ma maswali mengi bila majibu.

Mwaka 1997 ziliingia kijijini kwetu jemba 4 zilizokuwa na mabegi na waliongea lugha ya Rwanda walipokelewa na mwenyeji wao aliyekuwa anaitwa Nyandwi (tangu hapo Alipotea mpka sasa) usiku huo walivamia familia ya jirani yetu ambaye ilisadikika alikuwa ni shushu wa Serikali ya Raisi wa Rwanda aliye uawa Havyarimana.
Huyu Bwana aliishi maisha ya kawaida Kabisa na nikatika watu wanaofahamu ukweli wa uhuska wa Kagame Katika mauaji ya Raisi havyarimana alifahamu kuwa hana nguvu ya kupambana na Serikali kwa hiyo kwa udogo wake alijiandaa kukabiliana na chochote kitakachomtokea
Waasi hao waliokuwa wametokea Rwanda usiku walishambulia kumbe yeye hakuwepo ndani alikuwa inje walivunja mlango na kuwapga lisasi mke wa jamaa na mtoto wake na walitoka inje wakijiandaa kuondoka walishambuliwa na jamaa Waliuawa majambazi wa tatu hapo ilikuwa ni karibu na kambi ya wakimbizi kulikuwa na ulinzi mkali
Kikosi cha jwtz kilifika (polis Walikuwa mbali) na kukuta mati 3 za waliosadikiwa ni wanajeshi maharamia wa inchi jirani
Na maiti 2 za mke wa nyandwi (jina si halisi)
Mpaka leo mmoja wa wavamizi na mwenyeji wake pamoja na huyu bwana aliyeuliwa familia yake hakuna aliyejulikana alipo
Nimejifunza manyanyaso huwa yana mfamya mtu kufikri plan B kwa udogo wake.
Manyanyaso yana mwisho
 
Akasome historia ya vita ya kagera Tulikuwa askri wangapi ila waliokwenda vitani ni wangapi?
Atakuelewa
 
Kisa hiki kimenikumbusha mojawapo ya visa vipatikanavyo katika Bible Daudie na Goliat.
Walikua ni watu wawili tofauti katika uwanja wa vita lakini jule bwana mdogo alimpiga na kumwangamiza mbabe wa vita enzi na enzi.
Naina Amerca ikipigwa na asie mtarajia.
Hapa nyumbani pia tulionyeshwa wakati fulani vifaru na old ndege za kivita sikuwahi kujua maana yake ninini[emoji54][emoji54][emoji54]
Au mkuu zitto junior ulimaanimo na huku home au?
 
Hahahahahaa mkuu umeanza uchochezi sasa ohooo mie sikufika huko.... Chungulia kwanza dirishani kusije kukawa na ''surf nyeusi'' inakusubiri.
 
Vipigo kama hivi kwenye vibanda umiza huwa tunashout "Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiigaa Mbwaaaaaaaa"
 
Waliweza kutumia vema mazingira yao.
Inanikumbusha enzi hizo tuko sekondari tulikuwa na warden mmoja hivi mbabe sana yaani ukichelewa kuamka utabebeshwa maji hadi ujanze tanki nzima.... Mara usugue vyoo vyote n.k yaani adhabu za kutesana tu sasa kwakuwa alikuwa na mwili mkubwa alijua wengi tunamuogopa na hatuwezi mfanya lolote.....

Ikabidi wanafunzi tujiorganize na kutumia mazingira yetu ili ''kumtia adabu'' aisee kuna siku aliingia dormitory hall yetu ile kafika katikati tu taa zikazimwa.... Mwenye kikombe,mwenye viatu, fimbo, waya alimtandika nao mpaka akashika adabu na akajua kumbe na KIFUA chake bado angeweza kupigwa tu.

Toka hapo nikaamini vita ni mbinu tu sio manguvu na ubabe πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kweli nguvu nyingi bila akili ni hasara.
 
Kuna jamaa angu anatumia madaraka kutishia watu eti anausemi usemao nikisema nimesema na iwe ivo.. Kumbe hajui kinachompa kichwa ndiyo kinaweza kumvunja shingo
 
Asante sana kwa makala nzuri namna hii. Hakika Mimi ni muumini wa simulizi za kweli za namna hii. Big up sana , naomba mwaka huu 2024
 
Mie naomba kueleweshwa mwanzoni Finland ilikuwa na wajeda 180k na Urusi walikuwa 450k lakini ukasema Urusi iliongeza wanajeshi 750 naomba ufafanuzi au sijaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…