N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Ni dhahiri kwamba mpango Wa rais wa Marekani Donald Trump kulinda ajira za ndani ya US chini ya Sera yake ya Amerika Kwanza inakwenda kuibua vita kubwa ya kibiashara.
Leo Ijumaa Juni Mosi Umoja Wa Ulaya umeionya Marekani kwamba haitaketi tena kwenye mazungumzo kuhusu Ongezeko la kodi kwa bidhaa za Aluminium na Chuma zinaoingia USA kutoka EU...Badala yake EU inasema nayo inakwenda kujibu mapigo kwa 'kogonga' ushuru Mara dufu kwa bidhaa za Marekani hasa za kilimo pamoja na pikipiki etc...
Sio tu EU,Mexico na Canada nazo zimeonya zitachukua hatua sawa na hizo za EU dhidi ya Marekani....Ikumbukwe vita hii ilianza mapema mwaka huu kati ya China na Marekani kwa bidhaa hizohizo na sasa imetanua mbawa hadi EU na Canada
Rafiki Wa Trump,Emmanuel Macron nae kasema ongezeko la kodi la US kwa bidhaa za chuma na aluminum kutoka EU ni halikubaliki kabisa.
Ikumbukwe hizo hatua za kuongeza kodi zimeinua ajira USA siku za hivi karibuni SASA wasiwasi wangu hii Sera ya USA kujilinda Protectionism kwenye biashara itafaulu?....ni suala la muda,tusubiri....huyo ndo kaka Trump
Hili ongezeko la kodi litawaumiza sana EU ukizingatia chuma chao na aluminum wamekuwa wakiuza sana USA
==============
The US is playing a "dangerous game" by slapping tariffs on European steel and aluminium, the European Union's trade commissioner has said.
Cecilia Malmstrom warned the move by US President Donald Trump would have consequences for the economic recovery of the EU, as well as US consumers.
The EU has issued a 10-page list of tariffs on US goods ranging from Harley-Davidson motorcycles to bourbon.
Canada and Mexico are also planning retaliatory moves against the tariffs.
Ms Malmstrom said the EU would challenge the move at the World Trade Organization (WTO) but that tariffs on US imports were necessary as "we cannot just take these tariffs and stay silent".
The commissioner said that despite the EU's "rebalancing" action, the two sides were not in a trade war.
"What we are in is a very difficult situation," Ms Malmstrom said. This situation could only be diffused by the US withdrawing its measures against the EU, she added.
US tariffs a dangerous game, says EU