Vita ya Congo DRC na M23 nini kifanyike haraka kuokoa maisha ya watu wasio na hatia na kuiweka Congo salama maisha yake yote

Hii video inatisha MNO.
Kazi ni kipimo cha UTU
 
Mshangao wangu kuandika kote kwa nini hautaki kugusia kiini cha tatizo(kiwe cha kweli au si cha kweli but regardless it should be addressed as well).
-Entarahamwe, nini kifanyike ili kuwaondosha(kuwafurumusha) kabisa kutoka katika ardhi ya Congo ili tuone kama kweli ni hiyo ndiyo concern tu ya Rwanda au kuna mengine?
 
Cha kufanya M23 wapigwe hadi Kigali,yaani vita ihamie upande wa Rwanda ndio PK akili itamkaa sawa
Ingekuwa rahisi mbona kitambo tu lingekuwa limeshafanyika, this reminds me siku flani tukiwa nchi flani Waarabu wakilalamikiana wingi wao na ukubwa pamoja na utajiri walionao lakini Israel inajipigia tu kila inapojisisikia na literally ni kama wanashindwa kuimaliza kabisa(their wish).
Easier said than done.
 
shida ya congo ni wanasiasa wake. congo ina watu washenzi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…