Vita ya Kagera: Uganda ilikuwa na Silaha bora Tanzania ilikuwa na Jeshi bora. Mwisho wa vita silaha zile zikawa zetu tena zikiwa Mpya kabisa

Vita ya Kagera: Uganda ilikuwa na Silaha bora Tanzania ilikuwa na Jeshi bora. Mwisho wa vita silaha zile zikawa zetu tena zikiwa Mpya kabisa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wale wahenga mnakumbuka tulizishuhudia zile silaha pale uwanja wa Uhuru baada ya wapiganaji wetu mashujaa kurejea kutoka vitani huko Mutukula.

Vita ni uimara na ujasiri wa mioyo na akili za wanajeshi na siyo wingi wa zana za kivita japokuwa nazo ni muhimu.

Mungu wa mbinguni ibariki Ukraine.

Maendeleo hayana vyama!
 
nimewahi soma humuu vita ya hatari ni kati ya askari wa wanyama pori na majangili
 
Ile haikuwa vita!,ilikuwa ni ugomvi wa kugombea mipaka ya mashamba Kule Kagera!!! Vita isikie tu kwa wenzio

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Waliokuwepo wengi sasa ni marehemu ebu tuache unyonge twende tukaichukue Rwanda tumekosa kabisa matukio ya kusimulia yani kama taifa yakutufanya tuwe wazalendo
 
Wale wahenga mnakumbuka tulizishuhudia zile silaha pale uwanja wa Uhuru baada ya wapiganaji wetu mashujaa kurejea kutoka vitani huko Mutukula.

Vita ni uimara na ujasiri wa mioyo na akili za wanajeshi na siyo wingi wa zana za kivita japokuwa nazo ni muhimu.

Mungu wa mbinguni ibariki Ukraine.

Maendeleo hayana vyama!
Uko sahihi kabisa.
Halafu kuna mtu aliwahi kunidokeza kuwa wakati wa mwalimu, majority ya wanajeshi JWTZ yalikuwa ni makabila mawili, WAKURYA na WAHEHE. Sasa kwa haya makabila nisikilizie mziki wake, hata kama hawana silaha nzuri.Na balaa lake sasa wanapokuwa wana silaha nzuri
 
Ni kweli kabisa mkuu!
 
Ile haikuwa vita!,ilikuwa ni ugomvi wa kugombea mipaka ya mashamba Kule Kagera!!! Vita isikie tu kwa wenzio

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ni kwa sababu ardhi yetu ilitumika kidogo tu halafu vita iakelekea upande mwingine. Kule ambako ardhi yao ilikuwa inatumika kwa vita, ilikuwa ni vita
Mjomba wangu mimi alikuwa anasoma FII Bukoba Sekondari, walihamia kwenye migomba.
 
Ni kweli kabisa mkuu!
Kipindi kile cha kundi la Mungiki lililowahi kusumbua kule Kenya. Nikakutana na jamaa mmoja MKURYA kutoka Musoma maeneo ya Savei, alikuwa amemtembelea shemeji yake amabye tulikuwa naye ofisini. Jamaa alikuwa analaumu sana kwa nini Rais Kibaki amewakatalia wakurya kwenda kuwatoa hao Mungiki. Jamaa akawa anasema wakurya walimuomba Rais awape silaha halafu waende siku moja wakasafishe hao Mungiki ndani ya masaa machache sana ili wasiendelee kukaa wanasumbua sumbua. I see nilichoka!
 
Back
Top Bottom