johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa....... Hapo Ufipa ni Mmawia tu anayeelewa haya mavitu na yule Mrangi.Haukuwepo Uandishi wenyewe wa Mtoto wa 1996
Mzee kama wewe kukosa boma ni aibuMuulize mwenyekiti wako Ufipa!
Hahahaaaa........ ...hapo Ufipa hakuna aliyepigana vita ndio maana mko lege lege!Mzee kama wewe kukosa boma ni aibu
Hivi wahudumu huwa mnaanza kazi saa ngapi?Hahahaaaa........ ...hapo Ufipa hakuna aliyepigana vita ndio maana mko lege lege!
Muulize Mnyika maana kila asubuhi anapitia bahasha ya kaki lumumba!Hivi wahudumu huwa mnaanza kazi saa ngapi?
Mnyika ni msimamizi wako?Muulize Mnyika maana kila asubuhi anapitia bahasha ya kaki lumumba!
Bahasha ya kaki huichukua kwa wahudumu!Mnyika ni msimamizi wako?
Kwa hiyo nyie wahudumu ndiyo mnatoa badala ya wahasibu?Bahasha ya kaki huichukua kwa wahudumu!
Ndio!Kwa hiyo nyie wahudumu ndiyo mnatoa badala ya wahasibu?
PoaNdio!
Uko sahihi kabisa.Wale wahenga mnakumbuka tulizishuhudia zile silaha pale uwanja wa Uhuru baada ya wapiganaji wetu mashujaa kurejea kutoka vitani huko Mutukula.
Vita ni uimara na ujasiri wa mioyo na akili za wanajeshi na siyo wingi wa zana za kivita japokuwa nazo ni muhimu.
Mungu wa mbinguni ibariki Ukraine.
Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli kabisa mkuu!Uko sahihi kabisa.
Halafu kuna mtu aliwahi kunidokeza kuwa wakati wa mwalimu, majority ya wanajeshi JWTZ yalikuwa ni makabila mawili, WAKURYA na WAHEHE. Sasa kwa haya makabila nisikilizie mziki wake, hata kama hawana silaha nzuri.Na balaa lake sasa wanapokuwa wana silaha nzuri
Ni kwa sababu ardhi yetu ilitumika kidogo tu halafu vita iakelekea upande mwingine. Kule ambako ardhi yao ilikuwa inatumika kwa vita, ilikuwa ni vitaIle haikuwa vita!,ilikuwa ni ugomvi wa kugombea mipaka ya mashamba Kule Kagera!!! Vita isikie tu kwa wenzio
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kipindi kile cha kundi la Mungiki lililowahi kusumbua kule Kenya. Nikakutana na jamaa mmoja MKURYA kutoka Musoma maeneo ya Savei, alikuwa amemtembelea shemeji yake amabye tulikuwa naye ofisini. Jamaa alikuwa analaumu sana kwa nini Rais Kibaki amewakatalia wakurya kwenda kuwatoa hao Mungiki. Jamaa akawa anasema wakurya walimuomba Rais awape silaha halafu waende siku moja wakasafishe hao Mungiki ndani ya masaa machache sana ili wasiendelee kukaa wanasumbua sumbua. I see nilichoka!Ni kweli kabisa mkuu!