Vita ya kuwania nafasi ya pili Yanga , Azam, Singida Nbc premier league si ya kitoto

Vita ya kuwania nafasi ya pili Yanga , Azam, Singida Nbc premier league si ya kitoto

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Ndugu wana michezo wenzangu, kuna kivumbi cha kukata na shoka kuwania nafasi ya pili nbc premier league, baina ya vilabu vitatu vidogo nchini.

Embu cheki msimamo hapo chini kisha tupia comment yako ni nani atamaliza nafasi pili kati ya hivyo vilabu vitatu.


DB7A98EE-648C-4513-B736-1B02D3183F10.jpeg
 
Usiombee ucheze na timu inayogombea nafasi ya pili, huwa ni vita. Bora ucheze na anayelinda nafasi ya kwanza.
 
Ila nyuki WA Tabora ni balaa wanaweza kuwashusha hao watatu😂😂😂
 
Aisee wana ushindani mkubwa ila naona Yanga akiwazidi hao wenzake, nafasi ya pili bila shaka ni ya Yanga maana wana kikosi kizuri
 
Back
Top Bottom