jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Vita ya makampuni ya mitandao kati ya USA na CHINA inaelekea kutamu.
Baada ya Hukumu ya kuifunga TIKTOK huko marekani hatimaye followers wa Tiktok wanahama kwa mamilionj na kujiunga na app nyingine ya kichina inayoitwa Red note.
Sambamba na kuhama wamerekani wengi wanajikuta wanagundua kuwa walikuwa wakiongopewa sana juu ya haiba ya wachina na uchina.
Tusubiri kuona yanayojiri