Gen Z,Gen Alpha,Gen Beta rahisi kuwa control kupitia social media nafikiri China naye ameona hili gape hii kitu inaweza kumsumbua marekani kumdhibiti China.
Kati ya TikTok na RedNote mtandao unaovamiwa na hawa Gen Z na Gen Alpha wa kimarekani kwa sasa bora TikTok hiyo RedNote ndio balaah tupu sijui kama ita survive katika soko la Marekani kama TikTok