Cesar Saint
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 423
- 726
China ni miongoni mwa mataifa yenye teknolojia ya hali ya juu ulimwenguni lakini wamekuwa na USIRI mkubwa na kuthibitisha hili China hawakuwa nyuma katika mageuzi ya teknolojia ya uchunguzi wa ulimwengu “Dawn of the Space Age “ mwanzoni mwa miaka ya 1950 na 1960 ikumbukwe kuwa wakati huo tayari Marekani na Umoja wa Kisoviet walikuwa wameshamaliza project zao za kutuma watu kwenye “Space” 1957 kwa wasoviet na 1960 kwa Marekani na wakafanya tena project ya pamoja Apollo-Soyuz mwaka 1975 .
Mashine ya Wasoviet hii
Kipindi hiki chote Wachina wao waliendelea kufanya project zao kwa siri kama kawaida yao na wakati huu ilikuwa ni ya kupeleka mtu mmoja kwenye Space ikiitwa SHUGUANG-1 walishafika mahala pazuri kiasi cha kupata wana-anga 19 na kutokana na upepo mmbaya wa kisiasa wakaachana na mpango hii mwaka 1972.
Mashine ya Wamarekani hii
Baada ya vuguvugu hili la kisiasa hatimaye kwenye miaka ya 1980s na 1990s kupitia program ya SHENZHOU wakafanikiwa kwa mara ya kwanza kutuma roboti kwenda kwenye Space mwaka 1999 ikijulikana taikonaut,Wana-anga wawili Yang Liwei wakisafiri kwa masaa 21 kwenda space mwaka 2003 October 15 wakipanda Shenzhou 5 na kuifanya China kuwa nchi ya tatu kufanikisha safari za Anga ya juu .
Mashine ya wachina hii
Baada ya mafanikio haya mwaka 2005 uchina wakarusha wana-anga wawili na 2008 wakarusha wana-anga watatu na kwa mara ya kwanza wakatembea kwenye Space “Space walk” na hapo ndipo umoja wa kisoviet ukaunda kituo chake cha anga kiitwacho Salyut Series and Mir na Marekani wao wakaunda Skylab na mwaka 2011 September 29 China wakatengeneza space station yao Tiangong-1 kwa roketi yao ya 2F kutokea northwest China.
Mpango bado inaendelea ya mataifa mengine kurusha vifaa vyao ila hawa ndio mataifa ya kwanza kufanya space exploration.
Asante