Katika hali ya kushangaza kampuni moja imejitokeza na kutaka kuandaa vita vya amani kati ya wapare na wachaga. Kampuni hiyo inayomilikiwa na boss mmoja wa kipare iliyosajiliwa nchini Norway inataka vita hivyo vifanyike ili wapare walipe kisasi baada ya mababu zao wa enzi hizo kupata kipigo kikali kwa kina mangi na kunyan'ganywa ardhi yao yenye rutuba na kukimbilia milimani. Hata hivyo baada dhulma hiyo wapare waliwalaani wachaga kupenda pesa sana hata kwa kutoa damu ya mtu, hilo sina ushahidi nalo kama laana ya pesa kwa wachaga imeshika au la.
mshindi wa vita hiyo ndiye atapewa haki ya kuubadilisha mlima kilimanjaro jina na hivyo utafahamika kwa jina la mlima pare au mlima mangi, pia kibo na mawenzi vitabadilishwa majina. VITA ITAFANYIKA VIWANJA VYA SABASABA.