kaachonjo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 203 Reaction score 68 May 14, 2016 #1 Vita vya Uingereza na Zanzibar ndiyo vita fupi zaidi duniani. Ilidumu dak. 38 tu. Ilikuwa 27 Agosti 1896. kwenye vita hiyo majengo yaliharibiwa pamoja na vifo vya raia wengi vilitokea. je sababu za vita hiyo unaweza kuifahamu...tuwe pamoja
Vita vya Uingereza na Zanzibar ndiyo vita fupi zaidi duniani. Ilidumu dak. 38 tu. Ilikuwa 27 Agosti 1896. kwenye vita hiyo majengo yaliharibiwa pamoja na vifo vya raia wengi vilitokea. je sababu za vita hiyo unaweza kuifahamu...tuwe pamoja
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,629 May 14, 2016 #2 Ningependa kujua,wajuzi waje hapa
kweleakwelea JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 3,072 Reaction score 1,545 May 16, 2016 #3 Dah sofahamu..ngoja waje
J jabulani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 5,547 Reaction score 11,704 May 17, 2016 #4 Sababu ilikuwa kumfanya sultani awe mwakilishi wa utawala wa mwingereza.