habari wakulu wa hi kaya.nisiwachoshe asubui hi.ebana kuna vitabia vina niboa sana tena sana asee,tena inafanywa na mwanaume. utakuta umepanda dala dala au chombo chochote cha usafiri wa jamii, umeshika simu unatuma meseji jitu likakodolea macho unacho andika au kusoma, meseji tu ikiingia utalikuta linaangalia yani linafatilia kama simu yake................
pili maybe umeenda choo cha public au wakata kilauri choo cha bar,simnaingia wengi haja ndogo mijitu mingine baada ya kujisaidia inaaza kuangalia dushelele la mwingie tabia za ajabu sana hizi