Vitabu 5 Vya Ujasiriamali Vya Kusoma 2020 Kukuza Kipato Chako

Vitabu 5 Vya Ujasiriamali Vya Kusoma 2020 Kukuza Kipato Chako

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Kibaha House Of Wajasiriamali tunakuletea vitabu 5 tulivyovifanyia majribio kwa miaka 5 mfululizo na kupata matokeo makubwa yakuridhisha:

Kila kitabu utachonunua katika hivi, utapata fursa ya kujifunza kwa vitendo hapa Kibaha au kwa njia ya video ukiwa popote. Vitabu hivyo ni:

1. Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao mengi ikiwemo Mihogo,bamia, miwa, maharage,vitunguu,matiki maji,ufuta,pilipili hoho. Bamia, Ufuta, Nyanya, papai.

2. Kiwanda cha nyumbani (Bidhaa 15 za kutengeneza ukiwa nyumbani kama sabuni zote,mshumaa,chaki n.k)

3. Ufugaji bora wa kuku asili (Jinsi ya kuanza na kuku wawili na kupata kuku 120 kwa mwaka kwa njia ya kulea mwenyewe vifaranga)

4. Online Sales (Jinsi ya kuandika tangazo facebook , likajipost lenyewe Instagram na majibu ya wateja ukayapata Whatsapp).

5. Jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti.

Kila kitabu ni elf 10. Vyote vitano ni elfu 50. Lakini kwa kuzingatia umuhimu wa kujifunza, wiki hii vitabu vyote 5 tutauza kwa ofa ya elf 10 tu!!

Wahi ofa hii ndani ya siku 3.

Piga simu:0713-039 875 au 0742-499 177

bidhaa new.png
kuku new.png
intro mkaa new.png
 
Ujasiriamali na vitabu wap na wap hakuna mjasiriamali mwenye muda wa kusoma vitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Matajiri na wajasiria mali wakubwa duniani (hata tanzania), pamoja na majukumu yao kila siku ila wanatenga masaa kadhaa ya kusoma vitabu.

Kwa hiyo unaposema hakuna mjasiria mali mwenye muda wa kusoma inaonyesha una akili ya aina gani.
 
Matajiri na wajasiria mali wakubwa duniani (hata tanzania), pamoja na majukumu yao kila siku ila wanatenga masaa kadhaa ya kusoma vitabu.

Kwa hiyo unaposema hakuna mjasiria mali mwenye muda wa kusoma inaonyesha una akili ya aina gani.
Ww sio mjasiriamali tulia soma ukiingia huku hata muda wa kuandika post kubwa kama hiyo hakuna kila dk inapopita unaipigia hesabu
 
Kwa nini usisome kwanza wewe ili ufanikiwe? Au unatupenda sana?
 
Back
Top Bottom