Vitabu Bora zaidi vya Kiswahili kwa Ajili ya Watanzania

SolarPower

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
223
Reaction score
27
Wakuu,

Katika juhudi cha kujenga utamaduni wa kuwekeza katika vitabu na kuvisoma katika ngazi ya familia, naomba utusaidie kujua vitabu visivyozidi vitano vilivyoandikwa na Watanzania kwa lugha ya Kiswahili ambavyo unaamini kuwa kama kila familia ikivisoma, basi familia zetu zitafaidika na kuboreka zaidi hasa baada ya kuyafanyia kazi kwa vitendo yale yaliyomo ndani ya vitabu hivyo.

Itapendeza zaidi kama utataja piajina la mwandishi wa kila kitabu.
 
Wakuu,

Nitashukuru sana kama nitapata input yenu kuhusu ombi langu hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…