Wakuu , Katika kupekua pekua kwangu nimekikuta kitabu hiki mahali fulani.
Nikaona nijaribu kuwaletea wanajamii forums , huenda kitakusaidia kwa namna fulani .
Na kwa yeyote mwenye kitabu chochote kihusuyo afya anaweza kutuwekea pia.
nitajaribu kuki upload hapa, kitabu chenyewe kinaitwa;
The Detox Miracle sourcebook, author ni ROBERT MORSE, N.D