Vitabu kwa bei rahisi sana

Vitabu kwa bei rahisi sana

ebooks

Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Habari wana JF,

Kampuni yetu inajishughulisha na uuzaji wa vitabu vya kielektroniki (ebooks) kwa bei nafuu 10,000/= TO 20,000/=. Tuna vitabu vya aina mbalimbali kwenye 'fields' tofauti kama Mathematics, Computer Science, Economy, Law, Medicine, Social Sciences, Physics, Chemistry, Biology, Engineering, History, Psychology, Business, Technology etc.

Kwa wale wanaohitaji, tafadhali tuma list ya vitabu na authors kwenda ebookstz@gmail.com. Tutakujulisha vitabu gani vipo na bei zake. Tafadhali weka na namba ya simu kwa urahisi wa mawasiliano.

Kwa maelezo zaidi, piga 0715076681

Asanteni
 
ebooks, you guys rock! Nimeweza kupata vitabu vya economics na mathematics nilivyokuwa natafuta kwa muda mrefu sana. Asante sana. Bless you.
 
Acheni utapeli.Vitabu si vipo bure kwenye internet?

Tafuteni njia ingine ya kutafuta hela na sio hii!
 
Back
Top Bottom