Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Binamz na Wapwaz!
Niwapongeze na kuwatia moyo wote wenye mapenz mema na mliotayari kutoa msaada pale amabpo imehitajika na kubidi! Ila kuna suala moja moja limekuwa likijitokeza katika michango yetu nalo ni suala zima la la reference (samahani kiswahili cha neno hili kimenipitia pembeni).
Kila inapofikia wakati wa kutoa reference kwenye kitabu ama chapisho flani hatuwi wazi ; yaani aidha tunashauri mtu atuone chemba kwa maelezo zaidi au la hatutoi mwongozo wa upatikanaji wa kitabu ama chapicho husika ingawa si wote, hapa namaanisha wako waliojitahidi kuonyesha wazi ama kutoa link.........niwashukuru hao na niombe twende mbele zaidi ikiwezekana tutoe taarifa ya kumsaidia mtafutaji ama yeyote yule miongoni mwetu. taarifa ionyeshe mfano; ni duka gani ama wapi chapisho ama kitabu kinapatikana na kwa bei gani ama kwa njia ipi na ikiwezekana tuweke hata gharama za utumaji..................mtanisamehe lakini ndio nionavyo msaada wetu utakuwa wa manufaa zaidi
Nawapenda!