Vitabu na machapisho bora ya form 5, Physics, Chemistry, Maths na General Studies

Vitabu na machapisho bora ya form 5, Physics, Chemistry, Maths na General Studies

samwel.e.m

Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Wadau

Ninaomba mnitajie publisher wa vitabu vizuri vya masomo yaliyotajwa hapo juu kwa ajili ya mwanafunzi wa kidato cha tano, both vitabu vya maswali na vitabu vya notes/maelezo bila kusahau mapamphlet mazuri na waandishi wake.

Naomba mchango wenu tafadhali!
 
Publishers wazuri wa notes ni waalimu wako tu! wasikilize hao, wengine akina Nyambari ambao wanajua masomo yote watakupoteza njia uishie kupata sifuri takatifu.

Chart with with your teachers more than charting with untrustful sources of materials.
 
Asante kwa ushaur wako ila kuwa na vitabu ni muhimu kwasababu unafanya maswali meng tofauti na ya mwalimu pia sio kila kitu mwalimu atasema unahitaj kuongeza ujuz zaid
 
Back
Top Bottom