Vitabu nilivyosoma mwaka 2019

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
VITABU NILIVYOSOMA MWAKA 2019

1.Wisdom 2019 by Elija Mwape
2.Rosa mistika by E. Kezilahabi
3.Uamuzi wa busara
4.Ubunifu na kujiongeza by Dr Eliamani Laltaika
5.Historia ya wanyiramba by John Kito
6.Saa sabini na mbili by Japhet Sudi
7.Almasi za bandia by Chambi Chachange
8.Nyuma ya mapazia by Ben Mtobwa
9.Zawadi ya ushindi by Ben Mtobwa
10.Tahakiki,F.E.M.K
11.Matunda ya azimio by
12.Mashimo ya mfalme Suleyman by h. Rider
13.Legend Nelson Mandela
14.How to influence people in public speaking by Dale Carnegie
15Baharia bila meliby Dani Mloka
16.Nagona by kezilahabi
17.Mzingile by kezilahabi
18.Barua za Shaaban Robert
19.Wasifu wa Siti Bint Saad
20.Historia ya mapambano ya muafrika
21.Ngoma ya ngwanamalundi
22.Tenzi tatu za kale
23.Kiroba Cheusi
24.Kusadikika
25.Mapenzi bora
26.Howani mwana Howani
27.Historia ya Ahmadiya
28.Nguzo Mama
29.Chopikwa kikapika
30.Mwanangu nakuusia
31.Adili na nduguze
32.Uongzi wetu na hatima ya Tanzania
33.Mdhamini
34.Kijiji kisicho na makaburi
35.Mbio za sakafuni
36.Heka heka by Japhet Sudi
37.Utata
38.Oparesheni Panama by Japhet Sudi
39.Kesi ya Julius Nyerere
41.Mapinduzi au uhaini wa kijeshi
42.Amadiya na ukombozi wa Tanzania.
43.Mwalimu Nyerere na Ahmadiya
44.Historia ya Tafsiri ya Biblia ya Kiswahili
45.Historia ya hayati Shekhe Kaluta
46.Patashika by Japhet Sudi
47.The rodent bush
48.The status.

Ifuatayo ni sehemu ya vitabu vichache kabisa ambavyo sijavianza kuvisoma lakini ninavimiliki.
1.Sheria za kutunga mashairi na diwani ya Amri.
2.Mwanangu rudi Nyumbani
3.An Introduction to east African poetry
4.Song of Lawino
5.Wasaka tonge
By Iddy Ninga
 
Du vyote naona ni story tu....niljua vya biashara nmewahi kweli kufungua uzi nkajua mwaka mpya na biashara sasa kasi ya 4G+ kumbe ubuyu wa bakressa
 
Du vyote naona ni story tu....niljua vya biashara nmewahi kweli kufungua uzi nkajua mwaka mpya na biashara sasa kasi ya 4G+ kumbe ubuyu wa bakressa
Sawa mkuu,ila siku nyingine usikimbilie visivyokuhusu.
 
Bora huo muda ungetumia kuangalia movie..

Any way may be wewe Vimekusaidia na Umri wako unaruhusu(Kiafrica) utasoma vitabu ukikua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Movie angalia wewe, mimi nasoma vitabu.
Kama fikra zako zinaamini muafrika anasoma vitabu akikuaa, basi poa tu maana huwezi kubadilishwa kichwa ukawekewa cha punda na bado ukawa binadamu.
 
mkuu huna pdf uweke apa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…