Vitabu tu au kuna vingine? ushauri plzzz

Thats what my daddy always used to say those days.

yes na ndio ilitufanya tukawa hivi tulivo and the vice versa,huwezi kuwa unaniletea ujinga wa bf zako kuja nyumbani kwangu na kuleza upuuzi wa kuchoma vitabu niliyvonunua kwa pesa zangu nisikuulize eti kisa umemaliza chuo kikuu!never!kama mleta mada anadhani kumaliza chuo kikuu ndio kukua she has to say it again!chini ya paa la nyumba ya wazazi wake yeye bado ni mtoto na anahitaji kuelezwa.
 
being it uko nyumbani kwangu,under the very roof of my own!u will always be mtoto!

Ukiweza hivyo hongera sana
kuna wazazi wanakuja kuteseka mno kwa sababu ya 'kudekeza watoto'
mtoto anamka asubuhi anachukua gari la mzazi na kwenda kwenye mishe mishe
mzazi anakuta gari haipo,anapanda daladala...
gari ikipata hata pancha,toto linapiga simu nyumbani
kudai pesa ya kuziba au kutengeneza,hata akikamatwa na trafiki
atapiga simu nyumbani,

toto halitumwi bila kwenda na gari......
nyumbani mitoto inaamua chakula kipi kipikwe na ku demand mara kuku,mara
hiki while toka wazaliwe hawajawahi kupata pesa ya jasho lao...

toto linatafutiwa kazi,unakuta hata barua halijui kuandika..na limetoka Univeersity
likipewa kazi kwanza linauliza mshahara...na utasikia ahh hiyo kazi mshahara mdogo,sifanyi...

wazazi wanalazimika kubembeleza likubali job......hii dunia hiii...acha tu
 
yani we acha tu!hivi mzazi anakwambia uache kitu miaka ile unathubutu kumjibu!nini kumjibu mi mamangu alikuwa akikuona umekunja sura tu utafinywa mapajani we mpaka ukojoe.

siku hizi wazazi wengine ni kama
wamekuwa watoto wa watoto wao
nyumba zinaendeshwa na watoto
 
ndio hapo!yani mtoto nizae mwenyewe hawezi kuniendesha kiasi hiki,hataki OFF HE GOES!haya mamabo ya kulea watoto kama wao ndo wametuzaa haya yanatutokea puani hatujui tu ndo mana hawaogopi yeyote barabarani,chukua mfano wanavobehave ukipanda kwenye daladala af uwe umesimama wao wamekaa utapata picha ni kizazi cha aina gani tunkikuza,hawako responsible na chochote si mali,si heshima si imani zao angalia ni vijana wangapi wanakwenda nyumba za ibada,utaona nazungumza nini,yani utakuta ni jumapili au ijumaa hakuna anyeshtuka kusali wala kuswali.mi sijui ungemweleza nini mzee K akubalie ulale nyumbani bila kwenda kanisani!
 
Nilitaka kuuliza umri na darasa kwa mtoa mada naona kakimbia
Lakini ujumbe aupata toka kwa wanaJF, hawa watoto watatuuwa kwa presha.
Kwani shule zinafunguliwa lini?
 
uwiiiiiiiii ulisoma weruweru kumbe...........hata mimi nilisoma hapo A'level lakini.
jamani ile shule acha tu nilikuwa nalia kila siku juu ya kazi ambazo tulikuwa tunafanyishwa mana shule niliyotoka ni ya private full kubembelezwa dah kwenda weruweru nilihisi wazazi hawanipendi na nikawaomba waniamishe wazee wakagoma ingawa uwezo wa kufanya hivyo walikuwa nao kumbe walinisaidia sana..............nimelima mimi, nimechimba mtaro wa kupitisha bomba, mashimo ya kutupa taka, tumezibua vyoo, nimefyeka jamani, kusugua corridor kwa majivu tena matron anakwambia mpaka sura yangu niione,kusukuma gari tena walikuwa wanaliita scandnavia etc............na kila wiki kuna test na unabidi ufaulu..............ila niliweza kumanage hayo yote na nikafaulu nikaenda zangu chuo kikuu kiulaini.
 
loh mimi nakumbuka niligoma kupika chapati asubuhi kisa dada yupo basi mama akamwambia dada pika muda wa kula mama akasema share yako haipo ila nenda jikoni kuna unga na mafuta kule upike..............wakanywa chai mimi si nikajidai kususa jamani mama akunipa chakula siku mbili.............na nikawa naosha vyombo walivyolia wenzangu...........sikurudia tena kususa na wala kukataa kupika na wala akuna mtu aliyediriki kususa tangu siku hiyo.
 
kiukweli hii ishu imekakaa kitoto sana lakini anyway ngoja tumshamuri, Mi nadhani usipaparike ye kama kakusemea kwa mzazi wako we tuliza 'ball', mama akikuuliza simply mwambie ni kweli ulianza mahusiano nae lakini soon ukagundua kuwa unafanya makosa so umemwaga ili urejee kundini, nadhani mama atawaka kidogo but ataona umekomaa ndo mana umeacha upuuzi
 
unajua kila siku nilikuwa naiskip hii post leo nkasema ngoja nifungue, nikakusanya nguvu kuisoma, dah kadiri ninnavyosogea sielewi...aghrr nakuja kumaliza na habari za mamdogo nitamwambia nini...dah :yawn:
 

it all has to do with a permissive sort of parenting...watoto wanalelewa kwa design ya kutotaka waexperience pain...forgetting kwamba without experiencing some degree of hustles u won't be able to appreciate pleasure since it's kinda always around u...rubbish kweli!
 

Labda niulize upo kidato cha ngapi maana tunaweza kukupa ushauri kumbe unahitaji viboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…