Vitabu vizuri vya darasani HGK

Vitabu vizuri vya darasani HGK

Mp nyanso

Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
95
Reaction score
8
Jaman natarajia kufanya mtihan wa 4m 6 mwaka keshokutwa as private candidate, so ni vtabu gan vzur vya ku2mia kwa upande wa history, geography na kiswahil, but zngatia muhtasari mpya, asanten 0762600121
 
History, Tafuta Major Issue ama Major event kilicho andikwa na Padre 10,000/= hiyo ni kwa paper one paper 2 tafuta chochote. Geography usijipe stress kama upo Dar ulizia mtu anaitwa Mtegetwa alikuwa msimbaz center kasome kwake Geography 1&2 ukifeli sanaaaaa una B, huyu jamaaa ni nomaa....kiswahili sijui
 
Back
Top Bottom