Vitabu vizuri vya PGM

johnny567

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
22
Reaction score
9
naombeni msaada wa vitabu vizuri vya combi ya pgm. Jina la kitabu na mwandishi itapendeza zaidi
 
Dah!
Hili somo litakuwa jipya aisee,PGM?
Labda kama ulimaanisha combination ya Physics,Geography na Adv.Maths,naweza kukusaidia kwenye PM:
Baadh ya vitabu vzuri kwa Physics ni :
Advanced Physics by M.NELKON,
Rodger Muncaster,
University Physics{U.P},
Na S.CHAND XI&XII Editions{kama unapenda spoon feeding}.
Kwa Adv.MATHS vitabu ninavyo vipenda ni:
Pure Maths 1&2 by BackHouse,
Adv.MATHS By Tranter,
Engineering Maths,
Adv Maths by KINUNDA.
 
Na mimi ningependa kusoma hili somo la pgm. Linafundishwa wapi? Maana ni somo jipya
 
Mimi nilisoma PGM just 2010/2012
Hakuna kitabu kizuri cha Physics zaidi ya notice za MGOTE.......... piga hivyo vitabu ila malizia na Mgote
 
samahani nilikosea kuandika,myakubanga asante kwa kunisaidia
 
Notice za mgote zinapatikana wapi nimtafutie ndugu yangu
 
Notice za mgote zinapatikana wapi nimtafutie ndugu yangu

Kama upo Dar mtafute mwanafunzi yeyote anayesoma moja ya combi hizi; PGM, PCB au PGM.....must anamfahamu Mgote.
Jamaa ni almaarufu hapa town
 
u.p for physics.... tranter for maths.

naombeni msaada wa vitabu vizuri vya combi ya pgm. Jina la kitabu na mwandishi itapendeza zaidi


PURE MATHS.
1.Pure maths 1 na 2 (hivi ndio nakushauri sana hasa hiki cha pure 2)
2.chand 11 na 12 (hivi navyo nakushauri sana kwa topic za algebra, D.E, vector na integration)
3.tranter (hiki ni kizuri sana hasa kama utakua umesolve maswali mengi, na kwa upande flani ni kigumu so kama ndio unaanza sikushauri ukitumie kwa sasa)
4.Maswali ya pamflects hasa za shule mbali mbali (haya yatakusaidia kwa kupigia maswali na kujipanga zaidi).
GEOGRAPHY.
HAPA CHA KWANZA NTAKUSHAURI CHA "LANDFORMS OF AFRICA" CHA BUCKLE hiki ni kizuri na kina michoro hasa ya physical geography inayoeleweka kwa urahisi!!
Kuna kitabu cha msabila hiki ni kizuri na kimerahisishwa sana (ni vizuri ukiwa nacho ila mimi sikushauri sana hiki labda kama utakitumia mwanzoni /form5).
hapa pia nakushauri tafuta pamflects za geog za shule mbali mbali na pitia maswali mengi uwezavyo!!!
KWA ZIADA..
Kwa geog nakushauri sana ukazane na physical maana wengi wana mawazo ya kizamani kwamba ni ngumu kitu ambacho si kweli!!
tukirudi kwenye maths... kwanza kazana sana kupiga maswali na jitahidi isipite siku hujasolve maswali yake (hapa kama utahitaji masaada zaidi sema nikueleweshe vizuri), discussion ni jambo la mwimu sana na kama unauwezo kazana na twishen hasa kama umepngiwa government!!! series za fitness pepa hasa ukianza form6 ni za mwimu sana!! kuhusu physics sio mtaalamu huko tungoje wanaolewa zaidi!!! kila la heri!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…