M Mnyaluhala. JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 1,430 Reaction score 1,785 Jun 10, 2015 #1 Habari Naomba kufahamishwa wapi nitapata vitabu vya account kwa jili ya kufanya mitihani ya CPA. Pia kama kuna mtu ana vitabu vya account vilivyo katika soft copy tusaidiane. Thanks
Habari Naomba kufahamishwa wapi nitapata vitabu vya account kwa jili ya kufanya mitihani ya CPA. Pia kama kuna mtu ana vitabu vya account vilivyo katika soft copy tusaidiane. Thanks
Muyagha JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 234 Reaction score 201 Jun 10, 2015 #2 Nenda NBAA bookshop vipo vya kila level ... Ila ukipata vya ACCA pia chukua vina msaada Mkubwa ....