Vitabu vya Dini vina Mafumbo kana kwamba ukiwa Kichwa nazi uwezi kuelewa au utaelewa tofauti

Umeandika porojo tu na mambo ya kufikirika ambayo hayana uhalisia wowote.Mungu gani muoga hivyo eti alivyoona wachawi wapo serious akawachanganyia lugha yani manake bila kuchanganya lugha wangemshuhilikia .upumbavu mtupu
 
Wakati binadamu huyo anapigana na huyo malaika alikuwa katika hali ya kimwili au kiroho?

Roho inapigana?
Kwani unaposali, au unapoona wachawi ukasali... Unakuwa unapigana kimwili au kiroho, Majini yanayoombewa na kutoka unakuwa unapigana nayo kimwili au kiroho...

Bado una safari ndefu kuelewa nini maana ya vita ya kiroho
 
Hajajibu swali.

Naku uliza hivi 👇

Yakobo alipo pigana na huyo malaika alikuwa katika hali ya kimwili au kiroho?

Ulikuwa mwili wa Yakobo ukipigana na malaika au roho ya Yakobo ikipigana na malaika?

Jibu swali ☝️
 
Na hili nalo mkalitazame [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mithali 30:5-6
[5]Kila neno la Mungu limehakikishwa;
Yeye ni ngao yao wamwaminio.

[6]Usiongeze neno katika maneno yake;
Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo.
 
Hajajibu swali.

Naku uliza hivi 👇

Yakobo alipo pigana na huyo malaika alikuwa katika hali ya kimwili au kiroho?

Ulikuwa mwili wa Yakobo ukipigana na malaika au roho ya Yakobo ikipigana na malaika?

Jibu swali ☝️
Najibu swali kwa swali...

Wewe kwa unavyoelewa, Binadamu na Malaika wakipigana kimwili kabisa, zikunjwe ngumu... Wewe unahisi nani atapigwa?

Kwanza unaelewa maana ya neno Vita ya kiroho, au tukizungumzia roho unaelewa nini
 
muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamu
Koran 34:13.
 
Najibu swali kwa swali...

Wewe kwa unavyoelewa, Binadamu na Malaika wakipigana kimwili kabisa, zikunjwe ngumu... Wewe unahisi nani atapigwa?
Naku uliza hivi 👇

Yakobo alipo pigana na huyo malaika alikuwa katika hali ya kimwili au kiroho?

Kwanza unaelewa maana ya neno Vita ya kiroho, au tukizungumzia roho unaelewa nini
 
Hakuna mabaki ya Safina ya Nuhu wala hakuna mnara wa mke wa Lutu, usidanganye watu.
Kunywa supu pale kwabundara ntalipa mm. Mtoa mada anatuona sisi mazwazwa matukio yote anayo zungumza sio yakweli.nahayana ushahidi wakuthibitisha nimpango mkakati wawatu kwakua walijua kuna vichwa vitahitaji ushahidi kabisa.hapo ndo utaelewa kua kuna watu wapo magerezani wanateseka kwaushahidi wauongo.
 
Umeandika porojo tu na mambo ya kufikirika ambayo hayana uhalisia wowote.Mungu gani muoga hivyo eti alivyoona wachawi wapo serious akawachanganyia lugha yani manake bila kuchanganya lugha wangemshuhilikia .upumbavu mtupu
Tena upumbavu ulopindukia.
 
Sio ume andika, sema ume copy😆😄🤣
 
Kwani unaposali, au unapoona wachawi ukasali... Unakuwa unapigana kimwili au kiroho, Majini yanayoombewa na kutoka unakuwa unapigana nayo kimwili au kiroho...

Bado una safari ndefu kuelewa nini maana ya vita ya kiroho
Acha kudanganya watu mapepo.hakuna wala mzimu hakuna hiyo ni elimu ndogo sana yamtu kuchezea akiri yamtu ila muhusika anajua unacho kiona au kuhisi nimatokeo yakuamua mwenyewe, yani kujiona au kuona kwamba kuna pepo ndani limesima tena mavazi nimeusi kabisa, hapo niwew unae ona hivo ila mwenyewe anaekuchezeshea anajua unacho kiona nini.
 
Kuna ambao bado wanaamini kuna watu wenye mabawa
 
Akili na mambo ya kidini ni kulia na kushoto, magharibi na mashiriki. Wewe kama unaamini dini yako amini tu ila ni ujuha kusema unatumia akili katika mambo ya kidini, wengine nimeona wanasema kitabu chao kinathibitishwa hadi na Sayansi!
Yes, absolutely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…