Vitabu vya Dini vina Mafumbo kana kwamba ukiwa Kichwa nazi uwezi kuelewa au utaelewa tofauti

šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚So wewe ndo unaamua au sio...kwamba we ndo umeandika
 
Mhh
 
Umeandika upuuzi mrefu ila in the end of the day unaprove kuwa Mungu wa dini yako hawezi kuexist. Hii ni problem of instructions...Mungu mwenye uwezo na akili nyingi angejua watu wasingeelewa maandiko na angeweka lugha ambayo inaeleweka...au ni kwamba hajali...watu wanaanzisha madhehebu kila kukicha coz of bible hiyo hiyo ambayo kila mtu anajikuta mtafsiri...mnaogopa kusoma Kilichoandikwa coz utaona Mungu wako muongo, katili, kafeli kimantiki na kiutabiri..Hana uthibitisho wa kisayansi au kihistoria.. so matokeo yake mnasema mafumbo cjui Nini...šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ kaanzishe kanisa tu mi nikisoma bible nikiona upuuzi nasema ni upuuzi coz najua binadamu kaandika..mambo ya cjui mafumbo ili kutetea utopolo sinaga
 
Iwe Nshomile!


Tukio la Adamu na Hawa kula tunda la mti wa uzima ulikuwa katikati ya bustani ya Edeni. Kuna dhana kwamba walishiriki tendon la ndoa na sio tunda halisi la mti

Je ni andiko la kiroho au unalizungumziaje hilo?
 
Nimependa huo mfano wa diamond na Harmonize🤣🤣
 
Hapo kwenye Freemasons na iluminati, umetufunga kamba,hizi ni organization za kawaida, hazina Mambo ya kimazingara, uchawi, kama watu wanavyoamini, kama yapo, ni kawaida tu, maana hata ndsni ya CCM uchawi hupo,Rejea hotuba za Humphrey polepole.
Hayo unayodhani ni mafumbo kwenye bible, ni tafsiri mbovu tu kutoka kwenye original language ya bible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…