Vitabu vya Joram Kiango

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Habari wana jamvi...

Kama kichwa kinavyosema hapo juu...
Nilikuwa naomba mwenye PDF ya Kitabu cha JORAM KIANGO LAZIMA UJE au kwa jina lingine lolote...

Kuna movie moja nakumbuka niliiona ya JORAM KIANGO LAZIMA UFE... NAWEZA IPATA WAPI... NIMETAFUTA YOUTUBE WEE... HAIPATIKANI.

HATA ISIPOPATIKANA HIYO... YOYOTE ILE YA MWANDISHI JORAM KIANGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…