Vitabu vya kilimo na ufugaji

Vitabu vya kilimo na ufugaji

MVAA KOMBATI

Member
Joined
Sep 18, 2016
Posts
39
Reaction score
38
KITABU CHA MASUALA YA GREENHOUSE SASA KINAPATIKANA
Habari wajasirimali wote na wanajihusiha na kilimo cha kisasa na wanaowiwa kujihusisha na kilimo cha kisasa hasa Greenhouse/Nethouse , sasa kitabu kinapatikana kikiwa kimesheheni mambo mbalimbali kama ;
- Maana ya Greenhouse
-Tofauti ya Greenhouse na Net house
-Vitu muhimu vya kuzingatia kabla ya kujenga greenhouse/net house
-Vitu muhimu vya kuzingatia wakati wa kusanifu jengo la greenhouse/net house
-umuhimu wa greenhouse/net house
-umwagiliaji wa matone
-faida za umwagiliaji wa matone
-Faida za kiuchumi /utajiri unaopatikana ndani ya greenhouse /net house
Na mambo mengine mbalimbali
Gharama ya kitabu ni Tsh 20,000/=
VIPO VITABU VINGINE.

KITABU CHA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI.15,000/=.
KITABU CHA UFUGAJI WA SAMAKI,NYUKI,NK.15,000/=.
KITABU CHA KILIMO CHA TIKITI.15,000/=.

TUWASILIANE ILI KUJIPATIA VITABU HIVYO.

0784999995.

0654768400.

0763208043.

IMG-20170919-WA0039.jpeg
 
Weka bure humu,sio lazima kuuza kila maarifa au tengeneza blog ambayo tutavisit na wewe kupata matangazo itakuwa rahisi kwako kupata pesa lakini hii itakuwa ngumu. [HASHTAG]#ushauri[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom