Vitabu vya kuelimisha jamii

Vitabu vya kuelimisha jamii

ligalu16

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
94
Reaction score
21
Habari wadau wa JF...!

Niende kwenye mada moja kwa moja, Mimi ni mtaalamu wa masuala ya utafiti. katika tembea tembea yangu hapa nchini na kwingineko nimegundua kuna uhaba wa watu fulani kupeleka ujumbe fulani kwa watu fulani ili kuisadia jamii fulani au kundi fulani katika kuacha kufanya mambo fulani kwa kutokujua na kufanya vitu ambavyo vinaendana na hali halisi ya maisha ya mtanzania. Binafsi nimeandika vitabu vitatu hadi sasa, vyenye muelekeo wa kuelimisha jamii ya kitanzania kwa yale niliyojifunza kutokana na uzoefu wa maisha ya kila siku. Sitaki kuviuza au kufanya uwe mradi wangu, ninatamani vitolewe bure kabisa kwa walengwa husika, japokuwa muamko wa kupenda kujisomea vitabu kwa wengi wetu bado ni mdogo, lakini naamini tutafikia mahali tutaona umuhimu wa kusoma, hivyo naomba kama kuna mtu au kampuni fulani inaweza kujitolea kunisaidia kuchapisha kitabu kimoja nilichopanga kukitoa na tukagawa nakala zake bure kabisa katika makundi lengwa, basi tunaweza kuwasiliana kwa kuni PM....kwa maelezo zaidi..
Ni mkazi wa Dar es salaam,
Asanteni..
 
Back
Top Bottom