Ni wapi Dar es salaam ninaweza kupata Kamusi ya Kiwahili/Enlish na vitabu vya kufundihsia Kiswahili kwa wale ambao Kiswahili sio lugha yao? Naomba mtu anayefahamu anijulishe tafadhali.
nenda duka la vitabu idara ya kiswahili chuo kikuu cha dar es salaamu hapo utapata kitabu kwa ajili ya kiswahili kwa wageni ni kitabu kizuri sana. nq kamusi zote utazipata.