Vitabu vya Risiti vinauzwa bei gani?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wap naweza pata vitabu vizuri vya risiti vyenye risiti zenye muonekano mzuri kwa ajili ya kumbu kumbu
 
Unapatikana wapi kiongozi ili iwe rahisi kwa watu wa maeneo hayo kukupa maelekezo
 
Wap naweza pata vitabu vizuri vya risiti vyenye risiti zenye muonekano mzuri kwa ajili ya kumbu kumbu
Mkuu nenda kariakoo, makutano ya barabara ya uhuru na congo, unaingia hapo kama unaenda gerezani, vuka mtaa wa Kipata, nenda mbele vuka mtaa wa Lindi, kulia kwako kuna frem zimejipanga, ulizia wanaotengeneza vitabu vya risiti utakuwa umewapata
 
heee tena
 
kwaiyo wanakudisainia unavotaka
 
Karibu tufanye kazi mkuu. Mimi nahusika na maswala ya printing kwa ujumla nipo k/koo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…