Vitabu vya software application development

Vitabu vya software application development

thomaskitomari

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
472
Reaction score
202
Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio.

Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
 
Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio. Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
Hvyo kupata huku ni kazi sana. Uliangalia ile book shop ya Mlimani City pale? Pia UDSM pale maeneo ya Cafeteria 1 & 2 kuna book shop, wanaweza kuwa navyo wale.

Ila uhakika ni kuagiza online tu or unaweza pata soft copy hapa: b-ok.africa or 1lib.nl
 
Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio. Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
Nenda Morogoro-town maeneo ya duka la risasi hapo darajani kuna duka la vitabu , nimewahi nunua kitabu cha java programming

Uzuri wa hard copy inapunguza uchovu wa macho kama vipi fanya hivi.
Nunua/download kitabu soft copy Kisha print kama pamphlet Kisha tumia hivi ndivyo ninavyofanya.
 
Z library vitabu vipo vya programming JavaScript,Python, etc Au nunua tu Amazon
 
Mkuu, labda kama ww ni mpenzi wa kusoma hard copy text books wakati wa kujifunza computer programming.

Kama una PC yenye access ya internet. kuna very interactive tutorials online za wadau wengi. Uzuri wa hizi tutorials zinakuwa na online compilers embedded kwenye hizo sites. Hii itakurahisisha kufanya yale mazoezi hapo hapo online bila kuinstall any extra software kwenye pc yako. Wengine wanadistribute sample training codes kwa kutumia github. Nyingine wanweka pia links za kudownload free ebooks za kukusaidia kupata maarifa ya ziada.
 
Back
Top Bottom