thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 202
Hvyo kupata huku ni kazi sana. Uliangalia ile book shop ya Mlimani City pale? Pia UDSM pale maeneo ya Cafeteria 1 & 2 kuna book shop, wanaweza kuwa navyo wale.Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio. Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
Nenda Morogoro-town maeneo ya duka la risasi hapo darajani kuna duka la vitabu , nimewahi nunua kitabu cha java programmingHabari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio. Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali