C.K
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 394
- 164
Kwa wanaohitaji vitabu vya elimu ya Ujasiriamali na Mafanikio kwa ujumla kwa ajili ya kufundishia au biashara (jumla tu) kuna kitabu chenye kichwa MAFANIKIO YA KIFEDHA. Kitabu hiki tayari kiko sokoni tangu mwaka jana (2011) na waliokisoma wanasema ndiyo kitabu bora kati ya vitabu vya Ujasiriamali na Mafanikio nchini vilivyo katika lugha ya Kiswahili. (Angalia cover lake kwenye hiyo attachment).
Sambamba na kitabu tajwa hapo juu, pia kuna kingine kipya ambacho ni bora zaidi ya hicho cha awali chini ya mwandishi yuleyule, (Robert C.K). Hiki cha pili kimekamilika bado tu kuchapwa na kusambazwa. Hivyo kama wewe ni dealer wa vitabu (publisher - msambazaji au mchapaji) na ungependa kufanya kazi na mwandishi huyu basi waweza kuwasiliana kupitia namba za simu hapo chini.
Simu: +255 758397557, +255 718 174415
Email: chazyarobert@gmail.com