Vitabu ya enzi hizo

madeinmusoma

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
324
Reaction score
387
SADIKI NA CHITEMO...
KARUDI BABA MMOJA....
JOGOO WA AJABU....
WATOTO WAGEUKA MAWE. . Daah nimekumbuka tu jamani.....acha kabisa. Wakati huo vijana wengi ambao kwa sasa mnaongoza kwa matusi Jamii forum mnakula kamasi bila hofu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…