M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,107 Jun 15, 2016 #1 Huyu msanii ni moto wa kuotea mbali, Hebu sikiliza hiki kibao aliimba kuhusu ufisadi wa awamu ya nne. Wasiomjua ndiye alieimba-sumu ya teja.
Huyu msanii ni moto wa kuotea mbali, Hebu sikiliza hiki kibao aliimba kuhusu ufisadi wa awamu ya nne. Wasiomjua ndiye alieimba-sumu ya teja.
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Jun 15, 2016 #2 Mangi flani hivi said: Huyu msanii ni moto wa kuotea mbali, Hebu sikiliza hiki kibao aliimba kuhusu ufisadi wa awamu ya nne. Wasiomjua ndiye alieimba-sumu ya teja. Click to expand... Ushawahi kununua nyimbo yake hata moja?
Mangi flani hivi said: Huyu msanii ni moto wa kuotea mbali, Hebu sikiliza hiki kibao aliimba kuhusu ufisadi wa awamu ya nne. Wasiomjua ndiye alieimba-sumu ya teja. Click to expand... Ushawahi kununua nyimbo yake hata moja?
M muongozaji JF-Expert Member Joined Oct 9, 2009 Posts 1,386 Reaction score 1,001 Jun 16, 2016 #3 Sawa...
J Joo Wane JF-Expert Member Joined Mar 14, 2007 Posts 1,476 Reaction score 2,803 Jun 16, 2016 #4 huyu jamaa nyimbo zake (kwa maana ya albamu) huwa zinapatikana wapi. nimejitahidi sana kutafuta nyimbo zake lakini huwa naambulia kuokoteza moja moja mitandaoni.
huyu jamaa nyimbo zake (kwa maana ya albamu) huwa zinapatikana wapi. nimejitahidi sana kutafuta nyimbo zake lakini huwa naambulia kuokoteza moja moja mitandaoni.
92mtl JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 459 Reaction score 308 Sep 15, 2016 #5 ndugu post na sumu ya teja hata audio