Vitalis Maembe ni hazina, mashairi yake Yana fikirisha

Vitalis Maembe ni hazina, mashairi yake Yana fikirisha

kaka_mkubwa

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
40
Reaction score
75
Habari za usiku.
Huu wimbo wa Vitalis Maembe umenichekesha baadae ukanifikirisha sana.



Kaisari tumempa chake na vyetu anachukua...
Huyu kijana ni hazina sana, mashairi yake yanafikirisha zaidi yanabiridisha
 
Kutoka kipande cha Bagamoyo... anawakilisha vizuri sana...TASUBA ndio maeneo yake.
 
Kwani keshatoka jela?!

Aache pombe na msuba....

Ndio vina muangusha.
 
Back
Top Bottom