K kaka_mkubwa Member Joined Apr 6, 2012 Posts 40 Reaction score 75 Sep 9, 2021 #1 Habari za usiku. Huu wimbo wa Vitalis Maembe umenichekesha baadae ukanifikirisha sana. Kaisari tumempa chake na vyetu anachukua... Huyu kijana ni hazina sana, mashairi yake yanafikirisha zaidi yanabiridisha
Habari za usiku. Huu wimbo wa Vitalis Maembe umenichekesha baadae ukanifikirisha sana. Kaisari tumempa chake na vyetu anachukua... Huyu kijana ni hazina sana, mashairi yake yanafikirisha zaidi yanabiridisha
strategist22 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 655 Reaction score 599 Sep 9, 2021 #2 Tafuta nyimbo zake kama majamvi , nahodha . Kipande cha papa.
strategist22 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 655 Reaction score 599 Sep 9, 2021 #3 Nyingine Kali inaitwa salama
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Sep 10, 2021 #4 Sumu ya teja segerea
be unique JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 2,381 Reaction score 2,287 Sep 10, 2021 #5 Kutoka kipande cha Bagamoyo... anawakilisha vizuri sana...TASUBA ndio maeneo yake.
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,496 Reaction score 7,162 Sep 12, 2021 #6 Kwani keshatoka jela?! Aache pombe na msuba.... Ndio vina muangusha.