leipzig JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 2,766 Reaction score 1,708 Sep 22, 2013 #1 Nimekuja na tamaa ya uchimbaji madini,naomba kuelimishwa utaratibu ukoje katika masharti, vibaya na hata leseni inagharimu kiasi gani?gharama anategemea ukubwa wa kitalu ?natanguliza shukrani.
Nimekuja na tamaa ya uchimbaji madini,naomba kuelimishwa utaratibu ukoje katika masharti, vibaya na hata leseni inagharimu kiasi gani?gharama anategemea ukubwa wa kitalu ?natanguliza shukrani.